Wanahitajika wataalamu wa maabara kwa ajili ya maabara mpya binafsi inayotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni mkoani Mbeya.
Nafasi
1. Health Laboratory Technologist (Nafasi 1 - Part Time)
Sifa:
a)Diploma ya Maabara kutoka chuo kinachotambuliwa na awe na usajili kamili kutoka Health Laboratory Practitioners Council
b) Uzoefu katika kazi za maabara usiopungua miaka mitatu (2)
2. Health Laboratory Assistant (Nafasi 1 - Full Time)
Sifa:
a) Certificate/Cheti cha Maabara kutoka chuo kinachotambuliwa na awe na usajili kamili kutoka Health Laboratory Practitioners Council.
b) Uzoefu katika kazi za maabara za afya usiopungua miaka miwili (1)
Note: Maabara hii iko Mbeya, hivyo kwa walio Mbeya au wanaoweza kuhamia Mbeya kwa kazi hii watafikiriwa kwanza.