GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,044
- 119,617
Mnavyopenda "kusifiwa na kushangiliwa"tumeamua kuwasifia na kuwashangilia.
wewe shida yako ni niniTangia nianze kuyafahamu haya Magazeti ambayo pia nimegundua kuwa yana mlengo wa Kiupinzani zaidi sijawahi hata siku moja kuona yakija na Headlines njema kuhusu Bajeti zote za Tanzania hasa kwa miaka yote ya huko nyuma ila kwa Headlines zao za leo imebidi nishtuke kidogo na kuuliza je wanawakilisha Uhalisia au wanazidisha tu Unafiki wao uliotukuka kwa Serikali ya CCM kwa gharama ya Wapinzani wanaowapenda?
MWANANCHI la leo wameandika " Ni bonge la Bajeti "
THE CITIZEN la leo wameandika " It's a feel good Budget "
Nawasilisha.
wewe shida yako ni nini
huu ndio "unafiki"
Kosa lao ni nini wakati hata ndugai mwenyewe anasema haijawahi tokea?Unafiki wao uliotukuka kwani kwa MWANANCHI na THE CITIZEN ninayoyajua Mimi hawawezi hata siku moja kuja na Headlines kama hizi za leo. Fuatilia kwa umakini kabisa Headlines zao zote katika Bajeti zote za huko nyuma na ukianza na ile ya mwaka jana ndipo utajua kuwa walichokuja nacho leo ni Unafiki mtupu.
Tangia =Tangu,tusiharibu lugha jamaniTangia nianze kuyafahamu haya Magazeti ambayo pia nimegundua kuwa yana mlengo wa Kiupinzani zaidi sijawahi hata siku moja kuona yakija na Headlines njema kuhusu Bajeti zote za Tanzania hasa kwa miaka yote ya huko nyuma ila kwa Headlines zao za leo imebidi nishtuke kidogo na kuuliza je wanawakilisha Uhalisia au wanazidisha tu Unafiki wao uliotukuka kwa Serikali ya CCM kwa gharama ya Wapinzani wanaowapenda?
MWANANCHI la leo wameandika " Ni bonge la Bajeti "
THE CITIZEN la leo wameandika " It's a feel good Budget "
Nawasilisha.
mtu mwenye gari hasa zaidi ya moja, sidhani kama ataiona mbaya hii bajeti. Lejea washangiliaji bungeni......Kosa lao ni nini wakati hata ndugai mwenyewe anasema haijawahi tokea?
Wewe hukuona mpaka Wabunge waliinuka kuomba ccm! Ccm! Ccm! Ccm! Ccm!