Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,419
- 13,554
Le Mutuz ulale kwa amani Kaka.
Kipekee kabisa niseme ulikuwa ni mtu wa tofauti hasa kwa mazoea na ufikiri wa watanzania wengi, uliuchukia umaskini, ujinga, uoga, unafiki, tangu utoto wako ulijijenga kwenye falsafa ya kujitegemea na kupambania ndoto zako.
Hukubweteka na hadhi ya Baba yako, hukuwa na ulafi, ulipenda logic na reasoning kwenye mijadala, Mara zote ulionesha akili kubwa katika uchumi, fikra, utawala, siasa, demokrasia na uliuweka pembeni ushabiki inapokuja misingi ya haki kitaifa, kikatiba, Uhuru binafsi wa kifikra au maoni.
Mimi ni mfano wa watu waliokaribia uwezo wako wa kuyatazama mambo katika ngazi binafsi, jamii, taifa na kidunia.
Maisha yako hasa interview zako zitakuwa maktaba kwa kizazi kinachopenda kuishi bila stress huku ukijua baya nq zuri, kamanda uliuchukia umaskini kwa dhati kila binaadamu hapendi taabu, hivyo maskini wa akili wana upofu kwamba ulipenda anasa, hao wenye mtazamo huo wana akili mfu.
Bro kwa awaye yeyote anaepambana kutafuta pesa wewe ulikuwa kioo na mwamba wa mfano.
Ulijua kujenga urafiki na marafiki, ulijua tofauti yq maisha ya mtandaoni na maisha ya mtaani.
Bro uliishi namna staajabishi kwa jamii na watu washamba wasiojua utambuka wa maisha na ulimwengu.
Nitaenzi falsafa ya kweli ya kuuchukia umaskini na kutafuta pesa, kula bata na kuwa mwema kwa jamii na mtiifu kwa jamii na serikali.
Kwa heri kaka wa mfano Le Mutuz
🙏🙏🙏
Nasherehekea maisha yako
Ni mimi mdogo wako Wadiz