Hayati Rais Magufuli alitumia mbinu gani kuzuia biashara ya meno ya tembo?

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,894
8,437
Watu watatu Wilayani Kilwa Mkoani Lindi, wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma ya makosa ya kukutwa na meno ya Tembo 90 yanayokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni Moja.

Watuhumiwa hao ambao ni Said Selemani, Bakari Saidi Na Selemani Hassani wote ni wakazi wa Kijiji cha Nanjilinji wilayani kilwa ambapo inaelezwa kuwa walikamatwa Machi 30.2023 katika eneo la Nakiu wilayani humo wakiwa na shehena ya meno ya Tembo 90

Watuhumiwa hao wanashtakiwa kwa makosa ya kukutwa na meno ya Tembo pamoja na tuhuma ya kujihusisha katika uuzaji wa nyara hizo za serikali kinyume na sheria ya wanyamapori Nambari 5 ya mwaka 2009
#EastAfricaTV
20230418_165539.jpg
 
Back
Top Bottom