johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,881
- 166,000
Hawa Viongozi Watatu niliwakubali sana katika Utumishi
Kupitia Wao niliweza kuuona Wema wa ndugu zetu Waislamu
Kuchafuana kisiasa kupo lakini hawa walijua maana ya Kuongoza Watu
Sikushangaa Waziri Hamza aliposema Mzee Mwinyi akiwa Rais wa Zanzibar alikuwa anakwenda yeye mwenyewe binafsi masokoni kukagua bei za bidhaa Wananchi wasionewe na kudhulumiwa
Katika Viongozi wa sasa huwezi kupata mfano wa Watatu hawa, kwanza Viongozi wa Leo hawana hofu ya Mungu kabisa
Mlale Unono 😀