Hayati Magufuli alivyoalika wazee wa kimila Ikulu kupiga dua(kutambika) ili mvua zinyeshe

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
20,862
51,532
Nikiri tu kuwa mimi nimezaliwa kwenye jamii zenye zinazodumisha mila zetu za asili(matambiko nisehemu ya maisha yetu).
Bibi yangu na babu yangu wapo vizuri.
Waliwahi kuniambia kuwa hakuna kazi nyepesi kama wa kuzuia au kuleta mvua.

Wazee wetu hawa wakiwa field huwa wanajaribiwa kwa hicho kitu,ukifeli unarudia somo.kuleta mvua au kuzuia mvua ni somo rahisi katika mitaala ya wazee wa kimila

Tangu uzaliwe ni lini ukaona mkutano wa vyama vya siasa ukavunjika kisa mvua?kwa taharifa yako mikutano hii huwa kuna kamati ya ufundi kuzuia mvua.

Hayati Magufuli baada ya kuingia madarakani aliwaita hawa wazee wa kimila (tamka wachawi)
toka kila mkoa Ikulu na kuwaambia kuwa anawapenda watanzania na asingependa kuona wanakufa njaa.hivyo aliwaomba wamsaidie kupiga dua(tamka kuroga) ili nchi iwe na mvua za kutosha.

Baada ya dua kila mzee alikutana na baasha nene ya kaki ikiwa na nauli na posho ya maana,

Wazee hawa hawakumuangusha ,mvua tuliziona,sasa mama Samia unafeli wapi?Babu yangu ni mmoja kati ya hawa wazee,mwaka wa pili sasa sijasikia simu yake kuwa anakwenda Dar au Dodoma Ikulu kupiga dua

Tangu mama aingie mjengoni mvua hazieleweki,sio mbaya kuiga mazuri ya JPM ,njaa zitatuua,mchele kilo 3500!!!
 
Nakumbuka kuna siku Magufuli "alitingishwa" kule Mtwara na hakuwahi kukanyaga kule tena mpaka mauti yalipomkuta..

Kwa hiyo unamaanisha ule ukame uliotokea mwaka jana, mpaka pakawepo na mgao wa maji Dsm, na mgao wa umeme karibia nchi nzima, shida ilikuwa ni kwasababu "wazee hawakutafutwa"?
 
Nikiri tu kuwa mimi nimezaliwa kwenye jamii zenye zinazodumisha mila zetu za asili(matambiko nisehemu ya maisha yetu).
Bibi yangu na babu yangu wapo vizuri.
Waliwahi kuniambia kuwa hakuna kazi nyepesi kama wa kuzuia au kuleta mvua.

Wazee wetu hawa wakiwa field huwa wanajaribiwa kwa hicho kitu,ukifeli unarudia somo.kuleta mvua au kuzuia mvua ni somo rahisi katika mitaala ya wazee wa kimila

Tangu uzaliwe ni lini ukaona mkutano wa vyama vya siasa ukavunjika kisa mvua?kwa taharifa yako mikutano hii huwa kuna kamati ya ufundi kuzuia mvua.

Hayati Magufuli baada ya kuingia madarakani aliwaita hawa wazee wa kimila (tamka wachawi)
toka kila mkoa Ikulu na kuwaambia kuwa anawapenda watanzania na asingependa kuona wanakufa njaa.hivyo aliwaomba wamsaidie kupiga dua(tamka kuroga) ili nchi iwe na mvua za kutosha.

Baada ya dua kila mzee alikutana na baasha nene ya kaki ikiwa na nauli na posho ya maana,

Wazee hawa hawakumuangusha ,mvua tuliziona,sasa mama Samia unafeli wapi?Babu yangu ni mmoja kati ya hawa wazee,mwaka wa pili sasa sijasikia simu yake kuwa anakwenda Dar au Dodoma Ikulu kupiga dua

Tangu mama aingie mjengoni mvua hazieleweki,sio mbaya kuiga mazuri ya JPM ,njaa zitatuua,mchele kilo 3500!!!
Langoni Ikulu kuna dua, hizi nyingine zilikuwa mbwembwe tu ndio maana mwalimu alitokomeza uchifu
 
Back
Top Bottom