HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 221
- 422
Watu wengi sana waliompinga hayati magufuli walianza mkubali baada ya kuanza kuona mafanikio, hizi zinaweza kuwa ni sababu za kutokubali kwake
1. Alikuwa akili kubwa/ IQ kubwa kuliko Asilimia kubwa ya watu . Kwa hapa nlishangaa sana waalimu kuwa ndio group kubwa linalompinga , Kiuhalisia ukiwa na akili kubwa sana watu wanakuwa hawakuelewi au inachukua muda kuelewa una maanisha nini .
2. Alisimamia kwenye ukweli , mambo mengi yako kwenye misingi isiyo sahihi
3. Alikuwa anaongoza watu wenye uelewa mkubwa zaidi yake , ingawa hili haliwezi kuwa sawa kwake maana akili za watanzania zinajulikana