Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 401
- 569
Ni kipindi chake ndo machinga(wanyonge) walikuwa wengi na wanaongezeka daily na hakuna mpango mkakati wowote wa kuwapunguza kwa kupanua sector binafsi mana serikali ilikataa kabisa kuajiri kisa Barbara.
Sector binafsi ilikufa kabisa au iikuwa inapumulia mashine kiasi ambacho wote waliokuwa wameajiriwa kule walikuja kulingana na wenzao kutembeza nguo, vyombo na dawa za panya barabarani halafu ni graduates.
Huwezi kuwa mtetezi wa wanyonge na wakati huohuo unawanyonga zaidi.
Kipindi hiki sector binafsi inashine Yale mahoteli yote pale manzeshe, Arusha nk yanafanya kazi na watalii wamefurika huko pia viwanda vyote vya chumvi bagamoyo vilivyofunga biashara kipindi Cha jpm vinafanya kazi na wanyonge wameajiriwa huko.
Sasa kwa mantiki hii nani anapaswa kuwa mtetezi wa wange? Samia au jpm!!