RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,785
- 4,400
Kuna muda maswali mengi huibuka na kujiuliza awamu ya tano kuna usiri wa mikopo ulikuwepo ndani ya miaka mitano.
Hayati Magufuli alikopa Trilioni 39 wote tunaona alinunua ndege, SGR, bwawa la Nyerere, daraja la Busisi, Ubungo interchange mfugale, Kijazi pamoja na viwanja vya ndege, vituo vya afya nchi nzima n.k.
Mama ndani ya miaka mitatu anazaidi ya mikopo ya trion 30+ amefanya nini maana miradi mingi imesinyaa hasa SGR ambayo tumeletewa mabehewa ambayo yanaonekana yana utofauti na mchoro wenyewe wa treni tunayohitaji kwa kuangalia picha ya treni ya iliyopo kwenye mradi na kilichopo sasa hivi inafikirisha Sana.
Mengineyo, hivi mama anaposema kuna mtandao unaiba fedha za serikali huku hachukui hatua anamaanisha yeye hana uwezo wa kutoa maamuzi hivi sasa au anaona ni bora ifike 2025 ajiondokee?