GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,948
- 119,227
Hakuna Kitu ambacho GENTAMIYCINE nakipenda ukianza Kuntukuza Mwenyezi Mungu, Mpira na Kusikiliza Muziki wa Congo DR tena mpaka Kuiimba na Kuicheza kabisa na kusahau matatizo yangu yote yakiongozwa na Umasikini wangu Ulionitukuka.
Hapa nilipo sasa nausikiliza Wimbo mtamu wa Magie (Magic) ulioimbwa na Koffi Olomide ila kuna sehemu navutiwa nayo kuanzia dakika ya 7 na Sekunde ya 44 ambako Kinanda na Solo Gitaa vinapigwa kwa Ustadi Mkubwa huku Waghani / Marapa (kwa Kikongo Atalakus) akina Mboshi Bola na Mwenzake Parabolique wakihanikiza vilivyo kiasi kwamba huwezi Kukaa utaamka tu Kuucheza.
Hivyo basi GENTAMYCINE nawaombeni Msaada wa Kuwajua waliokuwa Wapiga hicho Kinanda Kitamu na hilo Gitaa Zuri katika huo Wimbo wa Maggie wake Koffi Olomide na Bendi yake ya Quarter Latin.
Tafadhali kama unajijua Wewe siyo Bana Kongo (Bandeko Nangai) na mpenda Nyimbo za Congo DR na Misebene yao usipoteze muda wako Kuchangia huu Uzi wangu na waachie tu wale Niliowalenga na Walionielewa.