Haya sasa Nairobi ndio Jiji chafu kupindukia* kuliko Jiji lolote Africa Mashariki na kati report ya WHO imesema, Tanzania yaongoza kwa kuwa na miji misafi huku ikiwa na idadi kubwa ya miji misafi na yenye kupendeza
Kila mwaka Shirika la Afya Duniani ‘WHO’hutoa ripoti ya hali ya Mazingira Duniani ambapo mwaka 2017 WHO pia imetoa list mpya ya miji 38 michafu na yenye hali mbaya ya hewa barani Africa.
Nigeria inaongoza list kwa kuwa na miji mingi michafu ikiwa na miji 12 ikifuatiwa na Afrika Kusini ambayo imeingiza miji 8 kwenye list hiyo. Jiji la Nairobi limetajwa kuwa chafu kwa upande wa majiji makubwa Afrika Mashariki hukuMorogoro ukiwa mji pekee kwenye list hiyo kutoka Tanzania.
Hahaha unakumbuka juzi ulinambia sina cha kukulingishia...now you know that God is always awake..typical news coming from a danganyikan...huna hoja...leta uzuri wa nchi yako tudiscuss...sio kuchafulia Nairobi jina...anyway, back to the topic...Nairobi is dirty very dirty....hope the next governor will tackle this problem...Kidero has clearly failed...a factory that turns waste into energy or fertilizer should be built...also, plastic bags should be banned already...
sasa hili ni jambo la kulinganishia? uchafu unaweza ukamalizwa kwa miezi micache tu ila ukija kwenye mambo ya uchumi, haiwezekani tz ikaipita Kenya kwa muda mfupi hivi..Pili, ukiona watu wa kuleta bad news kila uchao kama hawa, IQ yao lazma ni ndogo kwel kwel....huwezi ukamwona mkenya ameleta habari ya kuchafulia tz jina...instead, huwa wanaleta habari za maendeleo ya nchi yao kenya...Hahaha unakumbuka juzi ulinambia sina cha kukulingishia...now you know that God is always awake..
dah! ama kweli huna hoja mkuu....Kuwa makini na hayo makoti ukitupia jicho karibu unaweza ukatoka na chawa wa kutosha
Nairobi ni chafu hata WHO wanafahamu hili na Dar ni cleanest ever so do the needful to the ballot box especially to the political party of the current Mayor of Nairobi.typical news coming from a danganyikan...redeemer huwa huna hoja...leta uzuri wa nchi yako tudiscuss...sio swala la kuchafulia Nairobi jina...anyway, back to the topic...Nairobi is dirty very dirty....hope the next governor will tackle this problem...Kidero has clearly failed...a factory that turns waste into energy or fertilizer should be built...also, plastic bags should be banned...finally, I propose the paving of roads in all areas of Nairobi including residential areas...
Nope the report says that's your permanent statussasa hili ni jambo la kulinganishia? uchafu unaweza ukamalizwa kwa miezi micache tu ila ukija kwenye mambo ya uchumi, haiwezekani tz ikaipita Kenya kwa muda mfupi hivi..Pili, ukiona watu wa kuleta bad news kila uchao kama hawa, IQ yao lazma ni ndogo kwel kwel....huwezi ukamwona mkenya ameleta habari ya kuchafulia tz jina...instead, huwa wanaleta habari za maendeleo ya nchi yao kenya...
Kigali mji msafi kabisa ukanda huu...tembea ukajionee...alafu Nairobi ina Gavana sio MayorNairobi ni chafu hata WHO wanafahamu hili na Dar ni cleanest ever so do the needful to the ballot box especially to the political party of the current Mayor of Nairobi.
there is nothing permanent in life...ama huo uchafu umewekwa hapo na kukorogewa simiti?Nope the report says that's your permanent status
Wewe tambua kwamba mnatuwakilisha vyema jumuiya ya Africa Mashariki kwenye swala la ukapurwa hayo ma speculations mengine won't change none.https://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2017/05/6714417903_a4c6b53cd9_z.jpg?zoom=1.5&resize=320,200
Ametoa hiyo info hapa kwa millardayo blog?
typical news coming from a danganyikan...redeemer huwa huna hoja...leta uzuri wa nchi yako tudiscuss...sio swala la kuchafulia Nairobi jina...anyway, back to the topic...Nairobi is dirty very dirty....hope the next governor will tackle this problem...Kidero has clearly failed...a factory that turns waste into energy or fertilizer should be built...also, plastic bags should be banned...finally, I propose the paving of roads in all areas of Nairobi including residential areas...
Hii si habari ya watanzania, Ni WHOsasa hili ni jambo la kulinganishia? uchafu unaweza ukamalizwa kwa miezi micache tu ila ukija kwenye mambo ya uchumi, haiwezekani tz ikaipita Kenya kwa muda mfupi hivi..Pili, ukiona watu wa kuleta bad news kila uchao kama hawa, IQ yao lazma ni ndogo kwel kwel....huwezi ukamwona mkenya ameleta habari ya kuchafulia tz jina...instead, huwa wanaleta habari za maendeleo ya nchi yao kenya...