Umesahau na ndoa za jinsia mojaWakuu haya ndo masharti magumu ya MCC ambayo viongozi wengi wa CCM wanasema ni magumu.
Utawala bora.
Haki za binadamu na utawala unaofuata sheria mlizojipangia wenyewe.
Kweli haya masharti ni magumu mno
Hii awamu ya pili ni hatarii zaidiKwahiyo sasa hivi ndo wamebadili?
Hayo masharti umeya-quote kutoka wapi?Wakuu haya ndo masharti magumu ya MCC ambayo viongozi wengi wa CCM wanasema ni magumu.
Utawala bora.
Haki za binadamu na utawala unaofuata sheria mlizojipangia wenyewe.
Kweli haya masharti ni magumu mno
kwa hiyo huo mkataba unasema hivyo tu?
Tanzania hahitaki vya ndebwedo, hapa kazi tu hatuhitaji mjomba, nchi tutaijenga wenyeweSharti kuu la MCC ni utawala bora. Utawala unaopiga vita rushwa na viongozi wake kupatikana kwa njia ya uchaguzi huru na wa haki. Hilo ndilo ambalo Tanzania haitaki, na inaona inaingiliwa uhuru wake.
Utawala bora CCM inadai kuwa ni masharti magumu, halafu sisi wananchi tunanyamaza kimya!...... Nani katuloga??????Sharti kuu la MCC ni utawala bora. Utawala unaopiga vita rushwa na viongozi wake kupatikana kwa njia ya uchaguzi huru na wa haki. Hilo ndilo ambalo Tanzania haitaki, na inaona inaingiliwa uhuru wake.
Umesahau na ndoa za jinsia moja
Na lile linalosemekana la kukubali ushoga Lina ukweli???Wakuu haya ndo masharti magumu ya MCC ambayo viongozi wengi wa CCM wanasema ni magumu.
Utawala bora.
Haki za binadamu na utawala unaofuata sheria mlizojipangia wenyewe.
Kweli haya masharti ni magumu mno
Kuna watu Ndani ya serikali watakuwa wanamuhujuma magufuri hili ashindwe kutekeleza kazi yake vizuri hili waje wamcheke ndio maana wanalopoka kuwa hatuna shida na misaada hili vitu vikwame watanzania wamchukie kwa nini hawakusema mapema kuwa tutajitegemea wayaseme sasa wakati tumeshanyimwa msaada kuwa nao makini mh watanzania wakianza kufa kwa kukosa dawa na maisha yakazidi kuwa magumu hulio nao watakuwa wanafurahi wakati sisi tunaoishi kishetani tutaichukia serikali yako watazame kwa jicho la tatu hii nchi bado kujitegemea tujipange na tuweke Marengo sio brabra kama sasa hivi

Ni lini MCC imesema kupata misaada lazima mkubali ushoga?leta link inayoeleweka
Ndio tunavyoambiwa Na hao wanaotetea kuwa uamuzi wa serikali kuhusu hiyo MCC ni sahihi.Ni lini MCC imesema kupata misaada lazima mkubali ushoga?leta link inayoeleweka vinginevyo unajifurahisha kuchangia