Haya ndo madhara ya kuwaachisha kazi wake zenu

Kuna jamaa analia mda wote, me nilimwambia tushapata kamtaji tusepe akazembea, alisahau mke wa mtu atabaki kua mchepuko tu, ye akamfanya mke na mwenye mke kashtuka.
 
Basi acha tufaidi bima maana sina mpango wa kurudisha moja ipo bisisi kwa bimkubwa nyingine kantalamba ili shirika la bima kama halijarisika sijui
Haha.
Sema ngoja tuone hizi trade unions
zetu kama zitapeleka shauri mahamakani maana jana nilikuwa napitia act 2004 ya wafanyakazi nikaona kuna kaupenyo ka kwenda mahakamani bwana kwa unfair termination.

Sema tuliofoji hatuna chetu maana ni criminal case. Labda waliokosewa kuwekwa kwenye orodha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…