Haya ndio maisha ya Mbwana Samatta

Huyu jamaa anamueka sana benchi Samatta, sijui tumuendee kwa Babu daluga moja tu benchi mwaka mzima
Wa Africa sisi tunaangalia pesa hata akicheza dakika 5 lakini pesa inaingia ndo maana Oby Mikel pale Chelsea anapiga pesa huku yupo bench anaingia dakika za mwisho ila mzungu hafanyi ujinga huo
 
Wa Africa sisi tunaangalia pesa hata akicheza dakika 5 lakini pesa inaingia ndo maana Oby Mikel pale Chelsea anapiga pesa huku yupo bench anaingia dakika za mwisho ila mzungu hafanyi ujinga huo
Kweli kabisa
 
Huyu jamaa anamueka sana benchi Samatta, sijui tumuendee kwa Babu daluga moja tu benchi mwaka mzima
Maombi yako Mungu kayasikia,, we mutu hatarii sana,,, jamaa atakuwa nje miezi isiyopungua minane...
 
ila wabongo bana, badala tuombe mafanikio yetu tunaombea anayeshindana na sisi ashindwe.

Samata apige ngozi amzidi jamaa si jamaa ashuke samata awe juu.
 
No wonder wasomi wa Tanzania wana hasira hadi basi... utawasikia "tatizo shule...!" wakati wenyewe na madigrii yao bado wanaminyana kwenye madaladala!! Hivi we Mbwana hata Form IV yenyewe si ilikuwa tia maji tia maji wewe??!!
 
Ndio maana naomba mungu nipate mtoto wa kiume na nina dream za kumpeleka ulaya ili awe mwanasoka, bongo sio mahala pazuri kwa soka
 
Wa Africa sisi tunaangalia pesa hata akicheza dakika 5 lakini pesa inaingia ndo maana Oby Mikel pale Chelsea anapiga pesa huku yupo bench anaingia dakika za mwisho ila mzungu hafanyi ujinga huo
Mmh
 
Wale professional wezi wa kukwapua nguo zilizo a ni kwa huko wakienda watakufa na njaa.Kila la kheri mbwana kaza buti
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…