Haya maisha haya

Dah.

Hapo ndio utajua the power of real love.

Huyo mama haoni kama mtoto ni mzigo, ila hizo nyasi ndio mzigo, yuko tayari kutua nyasi ila abaki na mtoto.

Akipewa mtu mwingine "mwenye roho mbaya" ataona mtoto ndiye mzigo, yuko tayari kumtua mtoto ili apate unafuu kwenye kubeba mzigo wake.
 
Hivi siyo nyie wanawake mnaodai kuwa sawa na wanaume..! Tushare kila kitu ata kazi ngumu ndiyo usawa mnaodai..!
 
Hiyo picha yenyewe ni ya kubumba. Haiwezekani akaweza kubeba nyasi zote hizo na mtoto mbele ilhali akiwa wima wima hivyo. TUSIDANGANYANE
 
Dah halafu kuna mpuuzi ukute mama alimpigia kura kuwa madarakani anatumia wadhifa wake vibaya. Inasikitisha sana.
 
Hiyo picha yenyewe ni ya kubumba. Haiwezekani akaweza kubeba nyasi zote hizo na mtoto mbele ilhali akiwa wima wima hivyo. TUSIDANGANYANE
Hayuko wima, angalia vizuri, ame-bend kwa mbele Na pia yuko kwenye mwendo, pia mtoto pamoja Na kuongeza uzito lakini ndio kasaidia kumwongezea balance
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…