Mwanongwa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2023
- 413
- 466
Leo kulikuwa na mchezo wa ligi kuu kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba katika dimba la Sokoine.
Kitu Cha tofauti katika uwanja huo na viwanja vingine ni kuwa utaratibu wa Sokoine stadium magari yanaruhusiwa kuingia ndani ya uwanja
Tazama magari hayo ya polisi yalivyo mengi. Hivi hawawezi kuyapaki nje ya uwanja.
Soma Pia: Full Time Tanzania Prisons 0 - 1 Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22, 2024