Wasalaaam....
Nadhani mu wazima wa Afya na wale wagonjwa Allah/yehova awape shifaa,
Ndugu zangu wapendwa nimekutana na binti mwenye asili ya kisomali ni mzuri na anajielewa nimependa kumfanya shemeji/wifi /mkwe wenu ila nahofia kuwa wazazi wake hawataafiki kwani wanatubagua sana sisi waswahili..
sijui kama itawezekana! daaaah nawaza sana