Lexus SUV
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,489
- 5,578
Habari ya mwaka mpya 2025,
Naomba uliza je hawa wachungaji / MANABII / pastor wa makanisa ya ki-leo haya ya kinabiii , ki mitume , haya ambayo muumini ananunua maji ya upako ambayo yana chapa ya maji ya kilimanjaro bonite , au wanaouza mafuta ya upako.
Je, na wenyewe wana wana ruhusiwa kuzika waumini wao wakifariki?