Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 355
- 1,317
Kila siku unasikia wamesajili mchezaji fulani, sasa hivi wana uwezo wa kumsajili mchezaji yeyote mkubwa hapa Afrika unayemjua wewe, tena kwa mawazo yangu wanasajili wachezaji wenye vipaji, ujuzi, uwezo na stadi za kucheza soka kuliko hata makapi ya wachezaji wa timu zetu kongwe.
Huwa najiuliza sana kwa mfano kuna wachezaji inasemekana wanatakiwa simba lakini maneno maneno meeeengi mwisho unasikia mchezaji huyo kaenda Yanga au Singida, hawa Singida wako serious sana msimu huu.
Na walivyo na weledi wana wataalamu wazuri wa mikataba kwa sababu wachezaji wa kigeni wanaowasajili ni wengi kuliko idadi ya wanaotakiwa katika ligi yetu na husikii wachezaji hao wakienda FIFA kudai kama timu fudenge.