Hawa Orlando Pirates wamefikaje nusu fainali? Mbona timu mbovu hivi?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,999
19,305
Aisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa

Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua mashuti yasiyokuwa na malengo wakifika golini, hakuna ubunifu wa maana wanaojaribu kufanya wakifika golini

Hawa Pyramids siwalaumu sana sababu wapo ugenini
 
Aisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa

Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua tu, mashuti yasiyokuwa na malengo

Hawa Pyramids siwalaumu sana sababu wapo ugenini
Kesho subiri uone vibonde wetu wanavyotoa ulimi nje
 
Screenshot_20250419_203132_Sofascore.jpg
 
Aisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa

Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua tu, mashuti yasiyokuwa na malengo

Hawa Pyramids siwalaumu sana sababu wapo ugenini
Mpira umevamia, Orlando Pirates sio timu mbovu kama unavyofikiria wewe shabiki wa mdako na marede. Wana takwimu nzuri ya kumiliki mpira na kupiga pasi kuliko hao Pyramid. Na umeuliza wamefikaje hapo, wamefika kwa kuongoza kundi lililo na Al Ahly na Belouizdad na kisha kamchapa Al Ahly kwake Misri. Na ndio timu pekee ambayo hajapoteza mechi mpaka sasa
 
Timu inacheza nyumbani, inashindwa kufunga goli, ina shuti moja tu langoni, haijatengeneza nafasi hata moja kubwa, unaiita timu bora..
 
Timu mbovu, kuna jinga moja linajifanya juaji linasema eti ni wakali...wamecheza vizuri
Mpira ni takwimu, njoo na takwimu inayoonesha kuwa Orlando Pirates imecheza mpira wa kubutua butua
1) possession Orlando kaongoza
2) pass Orlando kaongoza
Unaonekana una ulazimisha kuupenda mpira wakati uelewi kitu
IMG_20250419_211214.jpg
 
Ipo nyumbani halafi imepiga mashuti 10 halafu moja tu ndio limelenga lango....no big chance created, no goal scored..
Mpira umebadilika, achana na mpira wa kukariri nyumbani tu, mechi ya Orlando Pirates vs Al Ahly, Orlando Pirates walitoa sare ya 0-0 je unajua nini kilitokea kule Misri kwenye mechi ya marudiano? Mpira ni kujipanga kwa mbinu sahihi, hapa walipo wana advantage ya kutoruhusu goli la ugenini hivyo mechi bado ipo wazi kwa kila mmoja.
IMG_20250419_204307.jpg
 
Mpira ni takwimu, njoo na takwimu inayoonesha kuwa Orlando Pirates imecheza mpira wa kubutua butua
1) possession Orlando kaongoza
2) pass Orlando kaongoza
Unaonekana una ulazimisha kuupenda mpira wakati uelewi kituView attachment 3309789
Orlando ame cteate chance ngapi?kapiga shuti ngapi golini zikawa saved? Kwa timu iliyokuwa inacheza uwanja wa nyumbani unaweza kusema ime perform vizuri?
 
Back
Top Bottom