proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,477
- 1,346
Leo asubuhi kwenye kipindi cha Clouds 360 ,nilishuhudia kina Ngoma na wenzake wakimsifia Ali Kiba eti katoa wimbo mzuri ukifanya nchi ya Tanzania na Afrika mashariki yote izizime kwa ajili ya wimbo wake wa Seduce me,
Mimi binafsi bado sijajua kwa nini watu wachanganyikiwe na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake pale unapousikiliza?
Kwa nini clouds wasimamishe mambo waliyopanga kuongelea kwa siku hiyo mpaka wamuongelee Kiba na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake?
Sent using Jamii Forums mobile app