Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,795
- 107,552
Kibongo bongo ushindani kwenye tasnia ya Muziki kuna D na Harmonize (Alikiba thrown away) Kwenye tasnia ya Vyombo vya habari kuna Wasafi Media na Clouds media.
Ila huko Dunia kwenye tasnia ya Ya filamu (Hollywood ) Ushindani mkubwa upo kwa Marvels Cinematic Universe (MCU) na DCU. Ila kwa upande wa Animation huko kuna Disney Animation studios ikichuana na watengenezaji wengine kama Pixal Animation,Dreamwork Pictures etc...
Upande wangu mimi nawakubali zaidi Dreamwork Pictures kuliko Disney coz naona Animation zao zina content za kitoto.
Baadhi ya animation za disney ni kama Moana,Frozen,Ralph Break internet, Zootopia,Lion king, Cinderela etc etc (Wameanza kutengeneza Anime movies toka miaka 1940s)
Kama umeangalia baadhi ya anime za Dreamwork utakubaliana nami kua hawa jamaa wako vizuri,kuanzia stori,mpaka mwonekano.
Mfano ukiangalia Puss in Boots yaani utaipenda Antonio "BadAss" Banderas alivaa uhusika vizuri sana na kuipendezesha...Yaani haichoshi kutizama hafu inachekesha hatari.
Au uangalie Boss Baby hii lazima uipende ukiona vituko vya Boss mtoto aliyetumwa kutoka mbinguni..Kuna Penguine of Madagascar ukutane na Baron Cohen kakuwekea sauti ya King Julián.
Baadhi ya muvi zao bira ni kama

- Shrek zote
- Penguine of Madagascar
- Boss baby
- The Croods (may 5 mwaka kesho kuna mwendelezo )
- How to Train Your Dragon zote 3
- Kung fu Panda zote
- Chiken Run
- Nk nk