Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,719
- 5,272
Leo tarehe 24.01.2024 hatua ya makundi ya michuano mikubwa barani Afrika ya AFCON inatamatika.
Mwenyeji Ivory Coast bado ana nafasi finyu ya kutinga hatua inayofuata ya mtoano. Hivyo anaombea kundi F libaki na matokeo yatakayokuwa mazuri upande wao.
Zambia ipigwe na Morocco pia Tanzania ipigwe na Congo DRC vinginevyo kama Zambia ikishinda au kutoa sare wataaaga mashindano. Pia Tanzania ikishinda ndio basi tena.
Nini tutarajie?
Mechi hizo mbili ndio zitafuatiliwa zaidi na wenyeji siku ya leo na zitakuwa ngumu sana, yaani za jasho na damu. Pia Tanzania na Zambia watahujumiwa. Hii ni Afrika.
Kutoka kwa mwenyeji mapema kutapoza mashindano hivyo leo marefa watakuja na matokeo yao mfukoni. Watanzania ambao bado mna uzalendo iombeeni timu yenu.
Nalog out.