Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 126,599
- 241,425
Kwani kati ya wagombea wote wa urais uliwaona hao wawili tu? Kama shida yako ilikuwa usiongozwe na Lowasa mbona hukumpa mwingine aliyegombea badala yake ukampa huyu? Tupunguzie unafiki hapa na kufuata mkumbo!Mulikuwa sahihi ila sio kwa kumtumia Lowasa.
Unataka maendeleo ya kweli kutokana na ilani ya chadema au unataka push up ?Niwe muwazi sijawahi kutokea kumuunga Lowasa na mpaka sasa Lowasa simuungi mkono na haitatokea nimuunge mkono. Nyinyi mnaoendeshwa kwa ushabiki wa kinafiki fanyeni huo upuuzi. Mtu sahihi alikuwa ni Dr. Slaa na siyo Lowasa.
Mkuu bnafsi ni mwanachama hai wa chadema toka 1995 lakini huwezi kunishawishi kwa hoja za kishabiki na unafiki juu ya Lowasa. Dr. Slaa was the best 2015.Unataka maendeleo ya kweli kutokana na ilani ya chadema au unataka push up ?
Tulipokuwa tunapiga kelele majukwaani , kwamba hiki chama hakistahili kuongezewa muda wa kuendelea kutawala nchi hii , maana kimechoka na hakina uwezo wala mbinu mpya , kuna waliotubeza sana na kutuona kama watu wenye tamaa tu ya madaraka .
Lakini sasa ni dhahiri kwamba wameshindwa kabisa kuboresha maisha ya mwananchi , zimebaki ngonjera na mikakati isiyo na matokeo yoyote.
Huduma zote za nchi hii zimedorora , maofisi sasa yamekuwa kama kambi za Mafunzo ya JKT kwa wahitimu wa kidato cha 6 , hali ni mbaya mno !
Nchi nzima watu wanajuta na wengine wanatupongeza kwa tulichokisimamia , lakini ndio hivyo tena .........
MAJUTO NI MJUKUU .
Ulikuwa ni ujinga wa kiwango wa PhD kutuletea EDo ili hali kulikuwepo na watu mahili ba wenye majina makubwa tu kipindi hicho. Iko wapi nguvu ya chadema kukemea ufisadi? Tunahuburi democrasia ili hali ndani ya chama chetu tunafanya ujinga ujinga(refer uchaguzi wa kanda Nyasa). Mbowe kapoteza credibility ya kuongoza chadema. Chadema siyo ya baba yake. Chadema ni ya watanzania aache democrasia ifanye kazi yake.Sasa EDO angebadilisha nini na hali kalelewa humo humo CCM? Kwani CHADEMA au niseme UKAWA kwa ujumla haina watu wenye sifa za kugombea nafasi hiyo mfano akina Safari, Baregu na wengineo ambao nina hakika wapo japo hawana majina makubwa!
Kwani kati ya wagombea wote wa urais uliwaona hao wawili tu? Kama shida yako ilikuwa usiongozwe na Lowasa mbona hukumpa mwingine aliyegombea badala yake ukampa huyu? Tupunguzie unafiki hapa na kufuata mkumbo!
Sure. Kosa kubwa ni kumpa mamvi. Wametufanya watanzania kuwa mazoba wa kugeuzwa kama chapati. Nasema hivi wenzangu mtageuzwa kadri ya matakwa ya mwenyekiti na mtakapopata akili ya kuhoji itakuwa too late. Mbowe is now boring. He longer fits to what he was. Vijana ni taifa la kesho lkn BAHATI mbaya sana kils kitu tunasema ndio. Niwe muwazi kura yangu 2015 ilikuwa hivi:mimi mtanzania na walaa sijuitiiiii kabisa, bora huyo kuliko white hair Lowasa..., na walaa sijuti kura yangu nimempa na tuta nyoka naendele kunyoshaaaa mpaka poh. mlikua kwenye right truck ila kuja kumpa mamviiii mlichemshaa.