Hatimaye Wadada Mmefikiwa

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
6,497
15,205
Screenshot_20250117_172404_Google.jpg

Kwanza naomba mjue nawapenda sana maana bila uwepo wenu hapa duniani sijui kama maisha yangekuwa na thamani yoyote,ndiyo maana pamoja na baba yetu Adamu kuwa peponi lakini bado Mola wetu akaona mpatie mama yetu Hawa

Ukimpenda mtu unamwambia ukweli ili kama kuna madhaifu anajirekebisha na huo ndio upendo wa kweli kwani hutaki ukimuona anaharibikiwa

Tusome kwanza kisa hiki,na ndio msingi wa mazungumzo yangu utakapo elekea;

Dada mwenzenu alikuwa na mwanaume wake,kisha bwana huyo akamtema huyo binti kisha akaanzisha mahusiano na mwanamke mwengine,upande wa pili binti nae akapata mpenzi mpya ambaye ana mhudumia vizur sana na kumjali sana

Upande wa pili,ikumbukwe ex wa huyu binti alioa kabisa na kupata watoto na bado yupo katika ndoa,baadae huyu binti anaambiwa na shosti yake kwamba,bwana wako zamani amechoka balaa na inaonekana hayupo sawa

Anashauriwa na shosti yake amtafute ex boy wake ajue kulikoni,kweli anamtafuta na yule bwana anasema anaishi na ndoa ya mateso,mke wake hajatulia na ana mnyanyasa sana,na kazi kafukuzwa

Binti kwa huruma kama mnavyojijua dada zetu hamna baya,aka muwezesha huyo mwamba mtaji na alhamdulillah jamaa siku hizi mambo sio mabaya

Sasa mwamba anasema eti alimuoa yule mkewe kwa bahati mbaya lkn amegundua kuwa huyu ex wake ndio mwanamke bora kabisa na anapaswa kuwa naye na kumuoa,kwahiyo mpango ni atamwacha mama watoto wake ili aje amuoe ex wake

Na upande wa pili,huyu binti jamaa yake wa sasa anataka kujitambulisha kwao ili mchakato wa ndoa uendelee,sasa inavyoonekana binti yupo njia panda eti anataka kurudi kwa ex wake,kwahiyo anamyeyusha jamaa na kupeleka siku mbele ili awe na uwakika je ex wake atamwacha mkewe?

Cha ajabu zaidi mke wa jamaa anaonekana ana mimba nyingine,binti anamuuliza ex wake mbona umesema utamwacha lkn mbona mkeo amebeba mimba tena? Jamaa anatoa jibu kwamba hiyo mimba sio yake,sasa huyu binti eti anataka ushauri afanyeje?

Kama mlivyoona hiyo habar ni ya kweli nilisoma mtandaoni,hivi kweli dada zangu inakuwaje una mahusiano mapya mazuri kisha anakuja ex wako ambaye alikuacha mwenyewe na kuoa kwengine,eti leo anakuona wewe ni wa thamani kwake,je huko nyuma hakuiona thamani yako?

Wengi wenu leo hii mnaharibu ndoa zenu kwasababu ya ma ex wenu,wanajibebisha na kujifanya malaika na nyie kwa huruma zenu ama mnajikumbushia ya zamani na mwisho wa siku mnaharibu ndoa zenu au mnaleta migogoro ndani kwa kupoteza utii kwa waume zeni kisa maex wenu wana jifanya wanawapenda sana,ebu mjiulize wameona kipi kipya this time kwenu?

Ebu muwe mna waza na kuwazua kabla ya kuingia katika hii mitego ya maex wenu,wanaume sisi tuna wake zetu tunawapenda kisha tunakuja kwenu kutoa stress za ndoa zetu,halafu hali ikiwa shwari hao tunawakwepa tena

Kama mfano wa huyo binti mjinga anaweza kataa ndoa ya mwanaume wa sasa halafu akaenda kwa ex wake kisha asimuoe,halafu baadae anajiona ana mikosi kumbe yeye ni mkosi namba moja kwasababu amejitakia mwenyewe

Kuweni kama sisi miamba demu akizingua hana chake,hata aje akiwa anatoa machozi ya damu hatuajali kwasababu demu msaliti adhabu yake ni kuachwa tu,demu akikenguka hakuna kurudia matapishi ni kuto mrejea tena

Kwahiyo ebu mbadilike sasa huwa nasikitika sana kuwaona mnaharibiwa maisha yenu kwa huruma yenu,mwanaume akikutaka anaweza kukufanya wewe ndio kama pumzi yake yani eti bila wewe hawezi ishi ili mradi tu mrudiane lkn anataka kutimiza haja zake au amekumiss tu kwa mda,halafu baadae anakukataa tena

Na mbinu zetu kubwa tunajifanya ndoa zetu hazina amani,mahusiano yetu ya manyanyaso lakini ukichunguza kiundani ni uongo tu,hakuna ukweli,kwahiyo msiwe wazuri wa sura na umbo tu ila muwe wazuri katika kutafakari pia na kupima mambo

Nawapenda sana

Ni hayo tu!
 
View attachment 3204555

Hakuwepo kwenye kikao cha mwisho huyo 😅😅
 
Leo umeongea ya maana, naunga mkono hoja 100%.
Usiache mbachao kwa msala upitao.
 
Back
Top Bottom