MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,803
Kiherehere chenu cha Kujitutumua nanyi kwenda nchini Morocco Kuwaiga Simba SC ili mkae Siku 10 na mkaa Siku 5 tu Kifurushi cha Kisinda kikaisha kilitoka wapi?
Aliyewaambieni mfanye Usajili wa 75% ya Kikosi chenu badala ya 50% ili Timu ibaki na Rythm yake ile ile na muendelee kufanya vyema ni nani?
Mnajua kabisa kuwa Yanga SC hamna Playmaker kama Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima kilichowafanya mumuache na Kumbakiza Babu na Pancha Saido Ntibazonkiza Klabuni ni nini?
Ile Nguvu ya GSM kufanya Tamasha lenu la Siku ya Wananchi mliyowaiga Simba SC mngeitumia Kuiandaa Timu Kiufundi jana mngechezewa Pira Biriani na Pira Sharma lile na Rivers United FC kwa Mkapa?
Si mlitamba na Usajili wa Mpuuzi wenu Haji Manara na mkawa mnamtumia Kuitukana na Kuidhihaki Simba SC? Sasa kwanini jana hamkumchezesha ili Haji Manara asaidie Kuishika Miguu ya akina Fei Toto, Makombo na Yacouba waweze Kuwafungia Magoli?
Siku ya Wananchi Mchezaji wenu Herritier Makambo alipofunga Goli la Kubahatisha si mlitutambia kuwa sasa Yanga SC imempata typical Goal Getter ( Goal Scorer ) sasa jana alishindwa nini Kufunga ili aendelee Kuwajazeni Ujinga wake na Kutoa Ulimi wake nje kama Chatu aliyeshiba Mzoga?
Mlikuja na Kauli mbiu yenu kuwa UREJEO WA MABINGWA ( THE RETURN OF CHAMPIONS ) na Kutamba kuwa nyie ndiyo Mabingwa hasa je, baada ya Kipigo tukisema UREJEO WA WENDAWAZIMU WA WENDAWAZIMU WA JANGWANI tutakuwa tunakosea?
Sasa hivi mnapeana Moyo na Imani Kipumbavu kabisa kuwa eti mnaenda Kupindua Matokeo Kwao Port Harcourt nchini Nigeria huku mkiwa ama hamjui au mmesahau kuwa Wachezaji wao Waandamizi, Hatari tena wa Kikosi cha Kwanza kama 6 mliwafanyia Fitna za UVIKO-19 na jana hawakucheza ila mtakutana nao tena wakiwa na Hasira nanyi huko Machinjioni Kwao mnakoelekea.
Na tarehe 25 Septemba mtachinjana!!!