Hatimaye Ubuntu waja na simu za mkononi

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,850
4,812
wazindua simu ijulikanayo
[h=2]BQ Aquaris E4.5 na inapatikana kwa 169.90€[/h]source:Ubuntu on phones | Ubuntu
gsmarena_001.jpg

SPECIFICATION
4.5-inch 540x960 touchscreen
8 MP rear camera with dual-LED flash
5 MP front-facing
MediaTek chipset with a 1.3 GHz quad-core Cortex-A7 processor
1GB of RAM
Internal storage is 8GB
dual-SIM support.
source:BQ Aquaris E4.5 is the first Ubuntu phone, launches next week - GSMArena.com news
 
mwanzo mzuri huo...wanapotumia mediatek it dosnt mean they are losers, they have their target customer na labda uwezo wao pia ni mdogo.
 
mwanzo mzuri huo...wanapotumia mediatek it dosnt mean they are losers, they have their target customer na labda uwezo wao pia ni mdogo.

tatizo ni kwamba geeks na watu wenye uelewa mkubwa wa mambo ya tech ndio wanaifahamu ubuntu kuliko watu wa kawaida. na mtu anaejua mambo ya tech anajua mediatek ni nini hivyo tayari wamejieka kwenye situation mbaya
 
ubuntu kwa simu ipo muda mrefu tu, hio ni simu inayorun ubuntu ndio imezinduliwa. kama ulikua na simu ambayo bootloader yake ipo unlocked ulikuwa unaweza kuieka na watu wengi wenye nexus walikua wanaitumia.

My bro aliniweke Ubuntu katika nexus 4 yang
 
Wamekimbilia specs ndogo sana hawa jamaa,, hiyo ni low end phone, market wanayotarget sijui ni ipi hasa Its great to have a new experience kwenye simu na uzuri wa hii u can find a way uwe na android apps.
 
Os nzuri lkn spec mbovu....itakuwa sawa na kina techno na itel....hata huawei atakuwa juu... labda ajioshe kwenye betri.... anaeza kueleweka
 
Mpaka sasa imepita miaka 3 naona simu zimefeli hizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom