Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,625
- 1,619
Habari wakuu.
Kwa mara ya pili nimeweza ku flash smart phone aina ya huawei ambazo zilikuwa zina stuck kwenye logo.
Ilikuwa hivi:
Nilikuwa na simu aina ya huawei y330 ambayo ilikuwa ina stuck kwenye logo, nikapeleka kwa fundi kwa ajili ya ku flash, fundi akasema gharama yake ni shiling elfu kumi na tano. Khaa, nikahisi jamaa ananiibia pesa yangu.
Nikaamua kughairi, nijiunga na bando la voda la usiku, nilikesha kwenye google usiku kucha. Nikjikuta natumia wiki nzima ku google, hatimaye siku ya siku nikaweza kui flash.
Jana, tena kuna jamaa kaja na simj yake huawei y600 ina stuck kwenye logo.. Hahahaha.... Round hii ilikuwa kama kumsukuma mlevi, baada ya dakika 10 simu ikawa safi kabisaa, nikaramba elfu kumi na tano yangu saafu kabisaa.
Ukiwa mtundu raha sana. Guys, tusikubali kushindwa kirahisi. As longer as majaribio unayafanya kwenye kifaa chako, hata kikifa, ni chako.
Kwa sasa naweza flash baadhi ya smart phone, pamoja na kuweka custom rom.
Sasa si uweke hapa ili ku-share na ndugu zako mkuu jinsi ulivyofanya si unajua shida haina mmoja leo kwetu kesho kwako.
Sasa si uweke hapa ili ku-share na ndugu zako mkuu jinsi ulivyofanya si unajua shida haina mmoja leo kwetu kesho kwako.
Ki ukweli mimi nilianza na ku google jinsi ya ku flash smart phone.Mwenyewe niliifungua post nikifikiri anatoa darasa la jinsi alivyoweza kuflash hizo Huawei zinazoishia katika boot looping ili kweli awe ametoa msaada kwa hao anaowataka wasiendelee kuliwa na mafundi
Ushauri ulio utoa wa kuangalia youtube ni mzuri binafsi nilitumia njia hiyo pia, na baadhi ya web. Shida ni kwamba wengi ni wavivu ku google.Nashindwa jinsi ya kuweka document, anayeweza anitumie email yake, nimtumie ilia aweke hapa
AISEE, MKUKI KWA NGURUWE BWANA, WEWE ULIHISI UNAIBIWA KUOMBWA 15,000/= VIPI HUHISI KAMA UNAFANYA AMBACHO HUKUTAKA KUFANYIWA? KAUDUNDE BWANA, HATIMAYE UMEUTWANGA KWELI! HONGERAHabari wakuu.
Kwa mara ya pili nimeweza ku flash smart phone aina ya huawei ambazo zilikuwa zina stuck kwenye logo.
Ilikuwa hivi:
Nilikuwa na simu aina ya huawei y330 ambayo ilikuwa ina stuck kwenye logo, nikapeleka kwa fundi kwa ajili ya ku flash, fundi akasema gharama yake ni shiling elfu kumi na tano. Khaa, nikahisi jamaa ananiibia pesa yangu.
Nikaamua kughairi, nijiunga na bando la voda la usiku, nilikesha kwenye google usiku kucha. Nikjikuta natumia wiki nzima ku google, hatimaye siku ya siku nikaweza kui flash.
Jana, tena kuna jamaa kaja na simj yake huawei y600 ina stuck kwenye logo.. Hahahaha.... Round hii ilikuwa kama kumsukuma mlevi, baada ya dakika 10 simu ikawa safi kabisaa, nikaramba elfu kumi na tano yangu saafu kabisaa.
Ukiwa mtundu raha sana. Guys, tusikubali kushindwa kirahisi. As longer as majaribio unayafanya kwenye kifaa chako, hata kikifa, ni chako.
Kwa sasa naweza flash baadhi ya smart phone, pamoja na kuweka custom rom.
Hahahaaa kifuta jasho...IASEE, MKUKI KWA NGURUWE BWANA, WEWE ULIHISI UNAIBIWA KUOMBWA 15,000/= VIPI HUHISI KAMA UNAFANYA AMBACHO HUKUTAKA KUFANYIWA? KAUDUNDE BWANA, HATIMAYE UMEUTWANGA KWELI! HONGERA
Mkuu, sasa ulitaka nifanyeje... Maana mimi nilihisi naibiwa, na yeye akihisi namwibia atajifunza.. HahahaaAISEE, MKUKI KWA NGURUWE BWANA, WEWE ULIHISI UNAIBIWA KUOMBWA 15,000/= VIPI HUHISI KAMA UNAFANYA AMBACHO HUKUTAKA KUFANYIWA? KAUDUNDE BWANA, HATIMAYE UMEUTWANGA KWELI! HONGERA
teslasenior@gmail.comNashindwa jinsi ya kuweka document, anayeweza anitumie email yake, nimtumie ilia aweke hapa
Iflash tu.Nataka ku edit hapo kwenye title... Nafanyaje... Ni simu aina ya huawei