MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,991
Ni kweli huu ni ubinadamu!Safi sana.huu ndo ubinadamu,kama wavofanya magufuli,majaliwa,jk na wengine
Watu wngine hawakui hivi tatizo liko wapi hapa, kama viongozi wa kitaifa wamtangulia Edward kumwona/kumjulia hali Sumaye,mbona hauzungumzii watu wengine walioenda kumjulia hali kabla ya viongozi wakuu kitaifa?Huwezi kuamini lakini ni kweli kuwa takribani siku sita tokea Sumaye alazwe hospitalini, aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Lowassa ambaye wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu alimgeuza Sumaye kuwa kama msemaji wake wa karibu ameenda kumtembelea hospitalini.
Ninaamini safari za viongozi wakuu wa serikali na CCM kufika hospitalini kumtembelea Sumaye zimechochea uamuzi wa Lowassa kufika hospitalini as soon as possible!
Viongozi wakuu wa serikali na CCM wameonyesha ukomavu wa kiwango cha juu kifikra na kimtazamo wa kisiasa kwenda kumtembelea Sumaye haraka iwezekanavyo kabla hata ya viongozi wakuu wa CHADEMA baada ya kupata habari hasa ikichukuliwa mazingira ya hali ya kisiasa nchini.
Ama kweli, akufaaye kwa dhiki...
Aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Edward Lowassa na mkewe, Mama Regina Lowassa wakimpa mkono wa pole, Waziri Mkuu mstaafu ambaye alikuwa ‘’mpiga debe’’ wake wa karibu wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, Frederick Sumaye, kwenye taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete ya Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam, Januari 13, 2016.
Una maana gani?CCM wanatembeleana wao kwa wao
Namaanisha ccm wa huku na wa kule........damu nzito.....Una maana gani?
Duh! Lowassa alihamia Geita wiki mzima akidai maiti ya Mawazo mahakani na msemaji wake mkuu Sumaye.Huwezi kuamini lakini ni kweli kuwa takribani siku sita tokea Sumaye alazwe hospitalini, aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Lowassa ambaye wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu alimgeuza Sumaye kuwa kama msemaji wake wa karibu ameenda kumtembelea hospitalini.
Ninaamini safari za viongozi wakuu wa serikali na CCM kufika hospitalini kumtembelea Sumaye zimechochea uamuzi wa Lowassa kufika hospitalini as soon as possible!
Viongozi wakuu wa serikali na CCM wameonyesha ukomavu wa kiwango cha juu kifikra na kimtazamo wa kisiasa kwenda kumtembelea Sumaye haraka iwezekanavyo kabla hata ya viongozi wakuu wa CHADEMA baada ya kupata habari hasa ikichukuliwa mazingira ya hali ya kisiasa nchini.
Ama kweli, akufaaye kwa dhiki...
Aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Edward Lowassa na mkewe, Mama Regina Lowassa wakimpa mkono wa pole, Waziri Mkuu mstaafu ambaye alikuwa ‘’mpiga debe’’ wake wa karibu wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, Frederick Sumaye, kwenye taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete ya Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam, Januari 13, 2016.
kwanza mkuu huko kutembelewa na magufuli kumewaudhi ccm wengi sana akiwemo mtoa mada.sasa kisasi chao waliombea lowassa asiende wapate kichwa cha habari ndio waona povu la omo jingii.wengine walitaraji afe sasa wanaombea asipone ila tuwapuuze maana akili zao zimehamia pa kukalia.Watu wngine hawakui hivi tatizo liko wapi hapa, kama viongozi wa kitaifa wamtangulia Edward kumwona/kumjulia hali Sumaye,mbona hauzungumzii watu wengine walioenda kumjulia hali kabla ya viongozi wakuu kitaifa?
Protokali ingezingatiwaNingependa kama wangekutana hospitali siku hiyo EL na JPM.
Huwezi kuamini lakini ni kweli kuwa takribani siku sita tokea Sumaye alazwe hospitalini, aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Lowassa ambaye wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu alimgeuza Sumaye kuwa kama msemaji wake wa karibu ameenda kumtembelea hospitalini.
Ninaamini safari za viongozi wakuu wa serikali na CCM kufika hospitalini kumtembelea Sumaye zimechochea uamuzi wa Lowassa kufika hospitalini as soon as possible!
Viongozi wakuu wa serikali na CCM wameonyesha ukomavu wa kiwango cha juu kifikra na kimtazamo wa kisiasa kwenda kumtembelea Sumaye haraka iwezekanavyo kabla hata ya viongozi wakuu wa CHADEMA baada ya kupata habari hasa ikichukuliwa mazingira ya hali ya kisiasa nchini.
Ama kweli, akufaaye kwa dhiki...
Aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Edward Lowassa na mkewe, Mama Regina Lowassa wakimpa mkono wa pole, Waziri Mkuu mstaafu ambaye alikuwa ‘’mpiga debe’’ wake wa karibu wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, Frederick Sumaye, kwenye taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete ya Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam, Januari 13, 2016.
Mara hajaenda, mara kachelewa?vitu kibao?Lowassa ana ratiba na shughuli zake ?Kwenda kumwona Mtu hospital kunasaidia nini?Je Unajua Kama waliongea na Simu au vipi?Tatizo Kila kitu mnataka kiwe mtandaoni na Ndio maana Watu wakipata ajali baada ya kuwaokoa mnapiga PichaHuwezi kuamini lakini ni kweli kuwa takribani siku sita tokea Sumaye alazwe hospitalini, aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Lowassa ambaye wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu alimgeuza Sumaye kuwa kama msemaji wake wa karibu ameenda kumtembelea hospitalini.
Ninaamini safari za viongozi wakuu wa serikali na CCM kufika hospitalini kumtembelea Sumaye zimechochea uamuzi wa Lowassa kufika hospitalini as soon as possible!
Viongozi wakuu wa serikali na CCM wameonyesha ukomavu wa kiwango cha juu kifikra na kimtazamo wa kisiasa kwenda kumtembelea Sumaye haraka iwezekanavyo kabla hata ya viongozi wakuu wa CHADEMA baada ya kupata habari hasa ikichukuliwa mazingira ya hali ya kisiasa nchini.
Ama kweli, akufaaye kwa dhiki...
Aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Edward Lowassa na mkewe, Mama Regina Lowassa wakimpa mkono wa pole, Waziri Mkuu mstaafu ambaye alikuwa ‘’mpiga debe’’ wake wa karibu wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, Frederick Sumaye, kwenye taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete ya Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam, Januari 13, 2016.
CCM wanatembeleana wao kwa wao