Hatimaye Haji Manara atangaza ndoa rasmi na ZaiyLissa. Mastaa kibao akiwemo JB wameunga mkono

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,517
25,493
Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika .

Inaonekana Zainabu fundi sana naona ndugu yetu Haji Manara kakolea na penzi analopewa na Zai mpaka kaamua kuvunja kiapo chake cha kutooa tena mpaka anaingia kaburini.

Halafu imekuwa ghafla sana aisee hata miezi mitatu haijaisha Bugati kama Bugati kapagawa mpaka anatangaza ndoa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sisi yetu macho bwana.

Tunangojea mualiko twende tukale ubwabwa huku tunaweka notification on maana lolote linaweza kutokea kati yao maana wamekutana pipa na mfuniko halafu wote wapenda kiki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila JB naye mnafki 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

View attachment 2839517

Ila JB naye mnafki 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

View attachment 2839520View attachment 2839524
 
Ila wanawake wana roho ngumu,

Niishie hapa, ngoja niagize nguruwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…