Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,517
- 25,492
Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika .
Inaonekana Zainabu fundi sana naona ndugu yetu Haji Manara kakolea na penzi analopewa na Zai mpaka kaamua kuvunja kiapo chake cha kutooa tena mpaka anaingia kaburini.
Halafu imekuwa ghafla sana aisee hata miezi mitatu haijaisha Bugati kama Bugati kapagawa mpaka anatangaza ndoa πππππππsisi yetu macho bwana.
Tunangojea mualiko twende tukale ubwabwa huku tunaweka notification on maana lolote linaweza kutokea kati yao maana wamekutana pipa na mfuniko halafu wote wapenda kiki πππππππππππ
Ila JB naye mnafki π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£