Hatimae naenda kumkula Mwarabu

Mondela

JF-Expert Member
Aug 20, 2021
2,567
3,777
Habari wana MMU?

Nikastory kafupi tu kiukweli. Sijawahi kumkula Mwarabu, ila leo nimekutana na Mwarabu, mtoto whiteeee kwenye bus na nikaanza kumpigisha story anachekacheka tu. Mara nikamwambia naomba namba yako ya simu akanipa.

Nikamuuliza lini utakuwa free nikutoe out? Akanijibu siku yoyote. Maana huyu mtoto anapoelekea ananikosha sasa, nimempangia nimpakie vumbi la mkongo na hapa nilipo kila ninachomwambia anajichekelesha. Maombi yenu wadau.
 
Back
Top Bottom