Trump kasema,i have put iran on a notice.
Means last warning or still considering steps to be taken,
tatizo iran huwa hawakubali kupelekeshwa,watajaribu tena kombora kwani wanadai silaha zao ni kwa ajili ya kujilinda,sasa wakitest tena Trump ataona asipochukua hatua ataonekana amedharauliwa
Rais amepewa mamlaka ya kutumia Executive order katika vipengele vitatu
1 Presidential determination(uamuzi wa rais)
2 Presidential memorandum(mkataba wa rais)
3 presidential notice( Ilani ya rais)
Sasa kama hyo NOTICE anayozungumzi Mr Trump ni presidential notice ? kama ni hiyo
presidential notice executive order basi
" Wanakwenda kufungua mageti ya kuzimu"
Presidential notice imetumika mara moja tu ndani ya US na aliyeitumia ni Bwana Harry Truman na ilijulikana kama Executive order No 00999 (DDB) The decision to drop the bomb .
Executive order hii ya Presidential notice inatumika pale nchi inapokuwa imevamiwa kivita au iko under attack kwa jina jingine inafahamika kama Code Red au Code 999
Sep 11 baada ya mashambulio ya kigaidi New york na DC Rais Bush alitaka kuitumia hii Presidential notice Executive order kutangaza hali ya hatari ndani ya US lakini akashauriwa na washauri wa mambo ya ulinzi na usalama kwani maamuzi yake ya kutumia Presidential notice Executive order yangepelekea hofu dunia nzima
Ndipo september 23 kwa kutumia Presidential determination Executive order No 13224 ambayo aliipatia mamlaka U.S. Department of the Treasury kutaifisha na kufunga mali,fedha,taasisi na kila kitu chenye kumilikiwa na watu wanaojihusisha na kufadhili,kusaidia na kushabikia ugaidi au vitendo vya kigaidi ndani ya US pia akatangazia washirika wa US dunian kufanya hvyo na alisema msemo mashuhuri wa "You're either with us, or against us"