juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,459
Hapa mtaani kuna demu kahamia,ni mzuri,na ana shape na rangi nzuri sana.nimemtongoza na kanikubalia.sasa nashangaa naomba papuchi ananigomea na hata muda wa faragha nae sipati.ananiambia eti atatoa penzi hadi nikimuoa kwa kuwa yeye ni bikra.maswali ninayojiuliza ni je nikimua harafu nisiipate bikra itakuwaje?
NB:nimeshindwa kuwa na mpenzi hewa,ajabu nikimpotezea lazima anitafute na kulialia sana
Haha usikimbie mkuu wangu ...chukulia kama changamoto...tena changamoto kama hizo nzuri mana.unaplan jins gani uta win ..unakua kama unapanga dili la kupiga hela..ukifanikiwa furaha yake hakuna mfanoAseee hakuna kitu yenye changamoto ka kutoa demu bikra, saiz demu akinambia bikra nakula zangu kilomita
Wengine wako okey tu mkuuMara nyingi wa aina hiyo huwa wabovu na walishachoka kukimbiwa na wanaume. Mwanamke anaejitambua kama anakupenda kweli, atataka urafiki na wewe ili akujue ulivyo na sio kukimbilia ndoa huku akikunyima penzi wakati akihitaji vimisaada at the same time,hiyo ni sifa ya wanawake waliokubuhu na kuficha kucha brother.