Maboss wa kiume hujitahidi sana kuwa katikati / neutral na hata ishu za chuki / upendeleo huwa wanaweza kula na kipofu wengine iwe ngumu kujua kinachoendelea,
Ubaya wa maboss wa kike ni kwamba wengi huwa hawana uvugu vugu, ni aidha wawe malaika ama wakaksi, sasa umkuta mkaksi maji unayaita mmaahhh!!
urafiki / undugu / ukabila wa wazi wazi bila kujificha - ni kweli haya mambo yapo lakini huku hawajui kula sahani moja na kipofu, inakuwa rahisi sana haa mgeni kujua bosi ukiwa sio mtu wake wa karibu kuna ushirikiano mdogo
Ikitokea Boss kapewa cheo sababu Boss mkuu anampenda basi wafanyakazi wa kike walio chini yake huwa anaona kama washindani kwa kuhofia nao wanaweza kupewa vyeo walingane ama vyeo vya juu zaidi ikiwa bosi atawaelewa, hapo ndio huwa kuna viroja kibao vya ajabu ajabu
Ubaya wa maboss wa kike ni kwamba wengi huwa hawana uvugu vugu, ni aidha wawe malaika ama wakaksi, sasa umkuta mkaksi maji unayaita mmaahhh!!
- unakuta unafanya kazi yako anaanza kuja kuangalia unavyoifanya huku akirudia kukuelekeza mambo yale yale ambayo tayari unayatelekeza kama alivyokuagiza,
- kuna vitu ambavyo mnaweza kushirikiana co workers lakini anavibana maksudi ili muende kuvipata kwake mfano anaweza kuwaambia mprintie kazi ofisini kwake alafu baadhi ya karatasi anazitunza yeye mtu mwengine akizihitaji ni mpaka aende ofisini kwake wakati ingekuwa rahisi karatasi ziwepo eneo la kazi
- panapotokea tatizo basi hutumia nguvu kubwa sana kuwatupia lawama watu anaowaongoza ili kukwepa uwajibikaji
- kufanya maamuzi kivyake vyake bila kuwashirikisha ni kawaida, mnashangaa tu maamuzi yamefanyika wala hamjashirikishwa na ukihoji anaanza mambo ya kujionesha yeye ni boss,