Hata sisi tuliwakanda Morocco 3-1 mwaka 2013

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
18,469
28,313
Sio mbaya hata sisi tuliwakanda MOROCCO 3 hivyo kwangu Mimi naona Morocco wamelipiza kisasi Chao walichokuwa nacho vizazi na vizazi vyao

Kikosi kilicho ikanda Morocco mwaka. 2013
Kiliundwa na wazalendo kama Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Shomary Kapombe, Kevin Yondan, Aggrey Morris, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, Mrisho Ngassa/Athumani Iddi‘Chuji’ (63'), Frank Domayo, Mbwana Samatta/John Bocco (91'), Mwinyi Kazimoto/Thomas Ulimwengu (46') and Amri Kiemba.

Goli la kwanza lilifungwa na Thomas ulimwengu dk ya 46

Goli la pili na la tatu lilifungwa na samata 67 na 80
Najua Kalpana, cocastic hamuelewi ..mlikuwa bado wadogo sana enzi hizo

Nb: Morocco siyo wydad....Kwamba tutaifunga kirahisi
 
Huu ndio ulikuwa msimamo wa kundi.letu ......taifa stars ilikuwasha kweli kweli ....chini ya kim poulsen

NB vijana wa hovyo wa kuiombea vibaya taifa stars hawakuwepo
Screenshot_20240117-233606.jpg
 
Babu Kaju Sure boy amecheza na Ngasa na bado anakiwasha 😀.
Huyu jamaa ni Kama gold never get rust .

Siku hizi hakuna talent .

Tff kuna wapigaji hawana mipango ya kudumu ya muda mrefu kazi yao ni ku organize harambee za zima moto .
 
Babu Kaju Sure boy amecheza na Ngasa na bado anakiwasha .
Huyu jamaa ni Kama gold never get rust .

Siku hizi hakuna talent .

Tff kuna wapigaji hawana mipango ya kudumu ya muda mrefu kazi yao ni ku organize harambee za zima moto .
Bado tunajitafuta mkuu
 
NB vijana wa hovyo wa kuiombea vibaya taifa stars hawakuwepo
emoji23.png
emoji23.png
Na wachambuzi wanywa supu hawakuwepo ila leo mchambuzi mnywa supu kachambua yasiyo na tija.

Eti tuliwakanda 3-1 😁

Baada ya kuwakanda mkaenda wapi?

Bado hujawa mtu mzima ktk uchambuzi kijana, we endelea tu kuvizia pilau kwa shemejio 😂
 
Na wachambuzi wanywa supu hawakuwepo ila leo mchambuzi mnywa supu kachambua yasiyo na tija.

Eti tuliwakanda 3-1

Baada ya kuwakanda mkaenda wapi?

Bado hujawa mtu mzima ktk uchambuzi kijana, we endelea tu kuvizia pilau kwa shemejio
Kwenye soka la kisasa ...bado ni mtoto sana ...but nitafute Nikupe madini for free
 
Kwenye soka la kisasa ...bado ni mtoto sana ...but nitafute Nikupe madini for free
Ungekuwa na madini ungeunda hata timu yako ya Pangu pakavu fc.

Sasa mtu mwenyewe huna pa kulala, unalala kwenye kituo cha Udart halafu unajiina una madini ya kugawa na kumbe u KALUBANDIKA 😂😂

Jipe mwenyewe hayo madini dogo 😁
 
Ungekuwa na madini ungeunda hata timu yako ya Pangu pakavu fc.

Sasa mtu mwenyewe huna pa kulala, unalala kwenye kituo cha Udart halafu unajiina una madini ya kugawa na kumbe u KALUBANDIKA

Jipe mwenyewe hayo madini dogo
Nahuzunika kuona watu kama wewe ni weupe kichwani

Naona dhambi Kwa mungu...nisipokufundisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom