Sio mabaya,nchi hii ina taratibu za kushughulikia migogoro,zikiwemo mahakama za kodi,mahakama za kawaida,kama kulikuwa na hoja ipelekwe huko,tuangalie maslahi mapana ya nchi,wawekezaji wote wamesita kuja nchini kwa sababu ya makelele ambayo yalikuwa na yana sehemu ya kusikilizwa(mahakamani)bila kuleta taharuki katika dunia ya wawekezajiYaani watu munaombea balaa tu! sijui ni kwa faida ya nani?
Mikataba ya kinyonyaji unaweza kuipinga mahakamani au ukamwita aliyekuzidi kete mkakaa mezani mkarekebisha,mpaka sasa ni Acacia tu ndiye kashika mpini sisi tumeshika makaliKUNA WATU WANAONA NI SAWA KUENDESHA NCHI KWA MIKATABA YA KINYONYAJI,ALIPOKOSEA MUGABE NDIPO TUTAKAPOREKEBISHA SISI
shangaa utadhani wao wanaishi hewani yakiharibika hayatawakumba.Yaani watu munaombea balaa tu! sijui ni kwa faida ya nani?
Huu ndo ukweli wote, wapuuzi wasioelewa wanashangilia bila kujua matokeo yajayo ni mabaya kuliko wanavyofikiri. Hata nchi tajiri zilizopiga hatua hazifanyi maamuzi kwa kiburi na sifa kama hizi sembuse Tanzania ambao hata Vyandarua bado tunategemea msaada wa wahisani.Mugabe wakati anaivuruga Zimbabwe ,alishangiliwa na kusifiwa sana kwa kuitwa shujaa,kila aliyemuonya alionekana mbaya,leo tunavuruga uchumi kwa sababu za kupika na tena zinapikwa na wanasiasa,tunasahau kwamba robo ya mapato au karibu robo ya mapato ya TRA hutoka ACACIA(kwa mwaka),hatuangalii kesho tutapata dawa hospitali na tumeamua kutofata utaratibu wa sheria ili maisha yaendelee,nchi imehamishiwa kwenye TV.
Hugo Chavez naye wakati anavuruga uchumi wa Venezuela alishangiliwa sana,leo hata chakula hakuna katika nchi hiyo!
Akina kambona wakati wanaupinga ujamaa,walionekana wabaya sana mpaka baadae Nyerere alipoona ujamaa ni mfumo mfu, akarudi kwenye ubepari ulioungwa mkono na kambona,lakini kipindi hicho kambona aliimbwa kwa kila jina baya, nchi ikafilisika watu wakawa masikini kwelikweli,
Hata leo, tunaibomoa nchi huku tukishangilia,tutayaona matunda ya kuibomoa nchi hii ndani ya miezi michache ijayo,kama tulivyoona pale bandarini,kwenye sukari na sekta nyingine na mpaka sasa kuna baadhi ya ofisi za umma hasa dispensary,zimebaki na wafagizi tu,watumishi wengine tumefukuza
mkuu, tatizo letu Watanzania liko hapa....tumo kwenye 10 hovyo katika nchi ambazo raia wake wana IQ ndogo duniani.Mugabe wakati anaivuruga Zimbabwe ,alishangiliwa na kusifiwa sana kwa kuitwa shujaa,kila aliyemuonya alionekana mbaya,leo tunavuruga uchumi kwa sababu za kupika na tena zinapikwa na wanasiasa,tunasahau kwamba robo ya mapato au karibu robo ya mapato ya TRA hutoka ACACIA(kwa mwaka),hatuangalii kesho tutapata dawa hospitali na tumeamua kutofata utaratibu wa sheria ili maisha yaendelee,nchi imehamishiwa kwenye TV.