GOYA MNANDA
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 239
- 160
Kijana ambao ni muhanga wa ajira kwa miaka zaidi ya 10 toka nimehitimu chuo kwa fani Ugavi nafarijika kwa juhudi, mbalimbali ambazo serikali imefanya na inaendelea kufanya kuakikisha inapunguza tatizo la ajira kwa kiasi chake.
Awamu hii chini ya Rais madam Samia kwa kiasi kikubwa wameajiri vijana wengi katika kada mbalimbali na wanaendelea kuajiri kwa kiasi fulani wimbo wa ajira unaimbwa kwa staha na juhudi ya maksudi inaendelea kufanywa kupungua kwa kiasi kikubwa tatizo la ajira
Aliekuwa waziri wa utumishi Mohamedi Mchengerwa (mb) alizingua Ajira app ambayo kwa kias kikubwa ajira zote private sector public sector na mashirika ya kimataifa taasisi za dini nk wanapitisha ajira katika app hiyo ili linasaidia sana vijana wengi kuona fursa za ajira na kuomba hii ni hatua kubwa sana kama taifa kwa mustakabar wa maisha ya vijan wake.
Pamoja na kuwa na GPA kubwa za darasan nawashaur vijan wezangu kutafuta fursa shikizi wakat wanasubr fursa ya ajira kama biashara kilimo na ukipata chance ya internship basi fanya kweli
Vijana wengi tunapendwa na wazazi ndugu jamaa na marafik wakat tupo chuo hivyo pesa huwa sio tatizo unapokea pesa kwa wakat kutoka board ya mikopo ndugu jamaa na marafik taasisi zinazotuzamini nk ili kuiandaa ajira shikizi ni lazima ukitumie vizur kiela unachokipata wakt upo chuo mfano bumu + plus mizinga kwa kaka dada baba shangaz mjomba rafik ulikua na uwezo wa kufungua fixed account bank na kila mwez ukaweka 50000-100000 bado kuna kujibana ili ufikie malengo yako upo chuo unakua mcharo kwa washikaji alafu leo unasema mtaji sheea na una jina kubwa bar pemben na hostel au kule kiimbwi ilo tatizo
Acha kumilik vitu vya thaman wakat wa masomo iPhone 6 laptop nguo mlima city kila weekend saloon
Apply opportunities cost katika makuz yako ya chuo pengine vijana walioitimu chuo miaka ya 2000 wangekua na mtazsmo kama huu leo wangekua mbali kibiashara nk
Tumekosea wapi nini kifanyike tunahitaji nini
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app