Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 749
- 874
Kwa kanuni na Sheria ndani ya Jamhuri ya Tanzania, jeshi la Polisi Tanzania ndio lenye mamlaka ya kulinda raia na mali zake, hivyo vitendo vya wanananchi kutekwa na kuuawa jeshi ili linatakiwa kupokea lawama juu yake na kukabiliana nazo kikamilifu.
Ni aibu sana tena kama wauni wanadiriki kukamata watu mchana kweupe mbele ya WATU( issue ya Mzee Hemed Kibao) na kuwaua, tafsiri yake ni kuwa ndani ya eneo husika hakuna ulinzi wa kutosha.
Siasa ziwekwe pembeni katika ili, tuache idara za ulinzi na usalama zifanye utafiti wa kina na waje na majina ya wahusika bila kumfumbia mtu macho.
Nawasilisha.