Hata BOT wameweka ukomo wa miaka 10 kwa ma CEO wa mabenki, miaka 20 kwa Mbowe kuongoza chama ni mingi sana.

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Oct 28, 2024
357
792
Kwenye uongozi wa taasisi, iwe ni biashara au kampuni au taasisi ya aina yoyote, huwa kuna swali moja huwa tunapenda kuliuliza, ambalo ni: 'Matokeo yapo wapi?'. Hili ni swali la kikatili sana, kwasababu huwa halihitaji kujiteteta wala kulaumu watu wengine, lenyewe linataka uoneshe matokeo yapo wapi, regardless of any circumstance, baaaasi.

Kwa aina ya taasisi kama Chadema ambayo Mbowe ameiongoza kwa mwaka wa 20 sasa, kwa mwaka huu 2024 hawezi kuonesha amefanikiwa kwa lipi ndani ya chama, ingekuwa rahisi mwaka 2015 kwa yeye kujibu swali hilo, ukizingatia mafanikio ya Chadema kisiasa na muunganiko ndani ya chama kwa wakati huo. Lakini ukimuuliza Mbowe hilo swali mwaka 2024 hawezi kusema chochote cha maana, wanamiliki mbunge mmoja wa kuchaguliwa, kwenye chaguzi za serikali za mitaa wamepigwa na CCM 99% kwa <1%, wanachama wako wengine wametekwa wengine wameuawa, hapo maana yake ukifanya assessment ya kiongozi wa chama ni kwamba, hiyo ni tafsiri ya kiongozi aliyeshindwa.

Na wala asiseme ya kwamba kushindwa kwa Chadema kulisababisha na Magufuli na hila za CCM, maana yake ni kwamba pia atakuwa yeye ameshindwa. Kama atakiri hawezi kupambana na hila za CCM sasa ni kwanini anadhani anapaswa kuendelea kuwa madarakani kwa miaka mingine 5?

Hata Benki Kuu ya Tanzania kipindi cha miaka 2019 kama sikosei waliweka ukomo wa CEO wa benki kuwa ni miaka 10, kwa maana ya kwamba, kama mtu umeshindwa kupata matokeo na kuwa mbunifu kwa miaka 10, hakuna jipya unaweza kuongeza kwenye taasisi. Vivo hivyo kwa Mbowe, miaka 20 ni mingi sana kwa huyu Baba. Mbowe alitakiwa akae pembeni 2015 wakati Chadema ilivyofika peak. Hata jina lake linamsaliti kabisa, wakuitwa Freeman, kulikoni utake kuhodhi kiti cha uenyekiti kwa miaka 25? Je ingalikuwa wewe ndo mkoloni, Tanganyika ingepata uhuru kweli??

Mjumbe hauawi, japo kwa sasa nguvu yenu ishapotea baada ya CCM kuwapiga vipigo vitakatifu mfululizo, na nina amini watawatandika tena kipigo kitakatifu mwaka 2025, ila ni sahihi kwako ku step down na kuupa uongozi wa Chadema relevancy ya kupambania hicho kidogo na kuendelea kubaki kwenye ulingo wa siasa, ama ung'ang'nie madarakani na Chadema ipoteze relevancy kwa watanzania.
 
Jamie Dimon ni CEO wa JPMorgan kwa miaka 20. JPMorgan ndio benki kubwa zaidi Marekani.
 
Chadema ni mali ya mtu binafsi. Kutaka ukomo wa mwenyekiti CHADEMA ni sawa na mtu kutaka akuweke ukomo wa kuwa Baba kwenye familia yako.
 
Jamie Dimon ni CEO wa JPMorgan kwa miaka 20. JPMorgan ndio benki kubwa zaidi Marekani.
Zingatia maneno kwenye aya ya kwanza 'Matokeo yapo wapi' Jamie Dimon the best investment banker in America, he sniffs and breathes money, hata miaka 100 anaongoza. ukiomuona bado yupo madarakani jua ya kwamba yupo relevant kwa shareholders. Maana yake anakupatia matokeo.
 
Shareholders wa CHADEMA ni wanachama wanaopiga kura kuchagua viongozi wao.
 
Robert Mugabe huwez kumtoa kirahisi ivo, kama unavofkiria
kutolewa madarakani kuna tafsiri nyingi sana, anaweza kung'ang'ania kuwa mwenyekiti lakini akakiua chama, akapoteza relevancy. Kwahiyo atabaki mwenyekiti angali amekiua chama, bado atakuwa loser wa yeye kuwa mwenyekiti. Play stupid games, win stupid prizes.
 
Shareholders wa CHADEMA ni wanachama wanaopiga kura kuchagua viongozi wao.
Umeongolea JP Morgan ambayo ni private entity, nikakuambia shareholders wana nguvu. Kwa public institution kama Chadema, zungumzia zaidi stakeholders sentiment ambao ni sauti zaidi ya hao wanachama wapiga kura.
 
Kwenye uongozi wa taasisi, iwe ni biashara au kampuni au taasisi ya aina yoyote, huwa kuna swali moja huwa tunapenda kuliuliza, ambalo ni: 'Matokeo yapo wapi?'. Hili ni swali la kikatili sana, kwasababu huwa halihitaji kujiteteta wala kulaumu watu wengine, lenyewe linataka uoneshe matokeo yapo wapi, regardless of any circumstance, baaaasi.

Kwa aina ya taasisi kama Chadema ambayo Mbowe ameiongoza kwa mwaka wa 20 sasa, kwa mwaka huu 2024 hawezi kuonesha amefanikiwa kwa lipi ndani ya chama, ingekuwa rahisi mwaka 2015 kwa yeye kujibu swali hilo, ukizingatia mafanikio ya Chadema kisiasa na muunganiko ndani ya chama kwa wakati huo. Lakini ukimuuliza Mbowe hilo swali mwaka 2024 hawezi kusema chochote cha maana, wanamiliki mbunge mmoja wa kuchaguliwa, kwenye chaguzi za serikali za mitaa wamepigwa na CCM 99% kwa <1%, wanachama wako wengine wametekwa wengine wameuawa, hapo maana yake ukifanya assessment ya kiongozi wa chama ni kwamba, hiyo ni tafsiri ya kiongozi aliyeshindwa.

Na wala asiseme ya kwamba kushindwa kwa Chadema kulisababisha na Magufuli na hila za CCM, maana yake ni kwamba pia atakuwa yeye ameshindwa. Kama atakiri hawezi kupambana na hila za CCM sasa ni kwanini anadhani anapaswa kuendelea kuwa madarakani kwa miaka mingine 5?

Hata Benki Kuu ya Tanzania kipindi cha miaka 2019 kama sikosei waliweka ukomo wa CEO wa benki kuwa ni miaka 10, kwa maana ya kwamba, kama mtu umeshindwa kupata matokeo na kuwa mbunifu kwa miaka 10, hakuna jipya unaweza kuongeza kwenye taasisi. Vivo hivyo kwa Mbowe, miaka 20 ni mingi sana kwa huyu Baba. Mbowe alitakiwa akae pembeni 2015 wakati Chadema ilivyofika peak. Hata jina lake linamsaliti kabisa, wakuitwa Freeman, kulikoni utake kuhodhi kiti cha uenyekiti kwa miaka 25? Je ingalikuwa wewe ndo mkoloni, Tanganyika ingepata uhuru kweli??

Mjumbe hauawi, japo kwa sasa nguvu yenu ishapotea baada ya CCM kuwapiga vipigo vitakatifu mfululizo, na nina amini watawatandika tena kipigo kitakatifu mwaka 2025, ila ni sahihi kwako ku step down na kuupa uongozi wa Chadema relevancy ya kupambania hicho kidogo na kuendelea kubaki kwenye ulingo wa siasa, ama ung'ang'nie madarakani na Chadema ipoteze relevancy kwa watanzania.
Tumpumzishe Mbowe asiwe Mugabe!
 
Back
Top Bottom