Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,726
- 4,481
Wakuu,
Akizungumza hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHAUMMA Hashim Rungwe amesema kuwa hajaweza kuzunguka na kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali nchini Tanzania kwani chama hicho hakina fedha za kufanya mikutano hiyo.
Soma Pia: Pre GE2025 CHAUMMA kinaweza kwenda kuwa chama cha upinzani kikuu Tanzania muda wowote