Hasara za PEPMIS kwenye haki za watumishi

sindano butu

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
510
169
Hongera sana serikali kuanzisha pepmis ambayo imekuwa chachu kwa huduma za utumishi kupatikana kidigitali. Pepmis imerahisisha sana kwa serikali kuona watumishi wao wanayofanya kila siku.

Lakini ingawaje Pepmis imeonekana na faida lakini imekuwa fimbo kukosesha watumishi haki zao. Mtumishi akijichanganya kujaza pepmis au msimamizi wake akimpa score chini ya 60 inamfanya mtumishi akose haki zake mbalimbali. Mfano huu mwaka kuna watumishi mbalimbali hawajapandishwa sababu ya pepmis kutokujaza au kuscore chini ya 60.

TUCTA, TUGHE wamekuwa wakimya sana kutetea haki za watumishi.Huwezi weka vigezo vya pepmis kuwa hupandi cheo au hupati mshahara kama hujajaz malengo. Serikali ifikirie hili swala kwa jicho lingine maana huu mfumo uko very biased na aioneshi uhalisia uwajibikaji wa mtumishi. Madhara ya pepmis yanaweza kuwa makubwa kuliko serikali kilichotarajia.

Watumishi wanazidi kuonewa kutoka kwenye kikokotoo hadi pepmis. YOTE haya yanasababishwa na watumishi kuwa Wapole kutetea haki zao.

Lengo la pepmis kunyima watu haki zao tuh hata kama ikionekana alistahili ili serikali iendekehe kubana hela.
 
Nashkuru Mungu nimeanzia kazi private sio serikalini, maana huko halmashauri wafanyakazi, wamedumaa kifikra, hawajiongezi kitaaluma, technologia au kifikra.

How comes, mfumo umsumbue mtumishi ambae kaenda college/University na kawa mtumishi?

Mathalani hausimamiwi kujaza, unashindwa hata kukamata wafanyakazi vijana wakuelekeze au hata wakujazie basi kwa kuwalipa unataka kuja kulaumu laumu hapa JF?

Japo mimi siwezi kushangaa, maana wakati tunafanya kazi ya SENSA kulikua na baadhi ya walimu wakuu wako very clueless on simple tech issues mpaka unamuonea huruma.

Watumishi acheni uvivu shurikisheni hizo bongo.
 
Hongera sana serikali kuanzisha pepmis ambayo imekuwa chachu kwa huduma za utumishi kupatikana kidigitali. Pepmis imerahisisha sana kwa serikali kuona watumishi wao wanayofanya kila siku.

Lakini ingawaje Pepmis imeonekana na faida lakini imekuwa fimbo kukosesha watumishi haki zao. Mtumishi akijichanganya kujaza pepmis au msimamizi wake akimpa score chini ya 60 inamfanya mtumishi akose haki zake mbalimbali. Mfano huu mwaka kuna watumishi mbalimbali hawajapandishwa sababu ya pepmis kutokujaza au kuscore chini ya 60.

TUCTA, TUGHE wamekuwa wakimya sana kutetea haki za watumishi.Huwezi weka vigezo vya pepmis kuwa hupandi cheo au hupati mshahara kama hujajaz malengo. Serikali ifikirie hili swala kwa jicho lingine maana huu mfumo uko very biased na aioneshi uhalisia uwajibikaji wa mtumishi. Madhara ya pepmis yanaweza kuwa makubwa kuliko serikali kilichotarajia.

Watumishi wanazidi kuonewa kutoka kwenye kikokotoo hadi pepmis. YOTE haya yanasababishwa na watumishi kuwa Wapole kutetea haki zao.

Lengo la pepmis kunyima watu haki zao tuh hata kama ikionekana alistahili ili serikali iendekehe kubana hela.
Inakula muda mwingi sana kwa watumishi kuelekeza nguvu nyingi kujaza wakati mtandao ni hafifu matokeo yake watumishi wanaacha kuhudumia watu wanajikita kujaza hiyo mifumo
 
Pepmis ni mfumo mpya ambao kuna baadhi ya watumishi bado unawaletea shida. Wangeacha kwanza huu mfumo watu wauelewe kwanza hata zaidi ya mwaka mmoja then baadae utumike. Halafu pia Internet pia ni gharama nyingine.
Intaneti ya kujaza pepmis ni bia moja tu acha kujiona masikini kiasi hicho
 
Hongera sana serikali kuanzisha pepmis ambayo imekuwa chachu kwa huduma za utumishi kupatikana kidigitali. Pepmis imerahisisha sana kwa serikali kuona watumishi wao wanayofanya kila siku.

Lakini ingawaje Pepmis imeonekana na faida lakini imekuwa fimbo kukosesha watumishi haki zao. Mtumishi akijichanganya kujaza pepmis au msimamizi wake akimpa score chini ya 60 inamfanya mtumishi akose haki zake mbalimbali. Mfano huu mwaka kuna watumishi mbalimbali hawajapandishwa sababu ya pepmis kutokujaza au kuscore chini ya 60.

TUCTA, TUGHE wamekuwa wakimya sana kutetea haki za watumishi.Huwezi weka vigezo vya pepmis kuwa hupandi cheo au hupati mshahara kama hujajaz malengo. Serikali ifikirie hili swala kwa jicho lingine maana huu mfumo uko very biased na aioneshi uhalisia uwajibikaji wa mtumishi. Madhara ya pepmis yanaweza kuwa makubwa kuliko serikali kilichotarajia.

Watumishi wanazidi kuonewa kutoka kwenye kikokotoo hadi pepmis. YOTE haya yanasababishwa na watumishi kuwa Wapole kutetea haki zao.

Lengo la pepmis kunyima watu haki zao tuh hata kama ikionekana alistahili ili serikali iendekehe kubana hela.
Acha uongo na probably wewe sio mtumishi na kama ni mtumishi basi wewe ni kilaza na unalengo ya kuifitinisha seikali na watumishi wenye uelewa duni kama wako.

Mim nimepanda daraja huku ujazaji wangu wa majukumu k
wenye mfumo ukiwa 30% sasa wewe hizo 60% umezitoa wapi?,

Mitano tena kwa mama samia
 
kuna watu wamepanda madaraja na wana account tu.. .
mchawi wa kuamua kupanda ama kubaki ni HR ...
hawa watu wamekuwa kama miungu
 
Back
Top Bottom