Harusi kuanza kulipiwa kodi

Serikali imekosa mwelekeo na vyanzo vya makato hadi wameona wakate kodi kwenye harusi?
ila had majeneza walisema watakata kodi sijui waliweza, ila sasa wataleta kukata na rambi rambi kodi
 
Serikali imekosa mwelekeo na vyanzo vya makato hadi wameona wakate kodi kwenye harusi?
Mbona kabla mlikuwa mnakesha mkishauri serikali itupie jicho kwenye hii michango? Kwamba itlnapoteza kodi nyingi sana? Leo wamesikia kilio chenu, mnadai wamekosea mwelekeo.....

Kweli bongo nyosso...!!
 
Kwani ukumbi wanaoutumia haulipiwi kodi? tunakoelekea sasa naona siko. Inamaaana hata wale wanaotangaza kuuza TV zao au Kabati zao za ndani ili watatue shida ndogondogo nao wataanza kutozwa kodi sasa!. Hee hatari sana hii!
 
Magufuri usipokaa ukaandaa mkakati wa kutumia rasimali za nchi kama madini, gas, utalii, ardhi kwa kilomo na ufugaji, uvuvi na miundo mbinu km bandari utapiga sana kelele na walipa kodi, nchii hii inawananchi maskini ambao ata watoe mali zao zote huwezi kuendesha nchi.

Cha msingi ebu jitafakari mapema jinsi ya kutumia rasilimali mhimu tajwa hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…