amna shida c wataenda shirikisho bhana,Timu ya Azam FC imenyang’anywa pointi 3 na mabao 3 baada ya kupatikana na hatia ya kumchezesha Erasto Nyoni aliyekuwa na kadi 3 za njano katika mchezo namba 156 baina ya Azam FC na Mbeya City uliofanyika uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.
Kwa mujibu wa ofisa habari wa TFF, licha ya Mbeya City kupewa pointi 3 na mabao 3 kwa mujibu wa kanuni za TFF, benchi la ufundi la Azam FC limepewa onyo kali na kuelekezwa kuwa yasiji rudie tena makosa kama hayo
Kwa uamuzi huu sasa ni rasmi Yanga ni bingwa VPL kwa msimu wa 2016/2016, vile vile kuna uwezekano mkubwa kwa Simba SC kuwa washindi wa pili.
Shirikisho anakwenda bingwa wa FA cup, kwa kuwa Simba alishatolewa basi Azam ana uhakika wa kucheza Shirikisho kuliko Simba. Kwa Yanga wanabadiri gia na kuongeza nguvu ili wachukue vikombe vyote viwili - FA na VPL.amna shida c wataenda shirikisho bhana,
mhhUbaguzi hata kwenye MICHEZO.... ndo maana Taifa Stars tumeshinda kombe la ulimwengu mara 5 mfululizo..... na ubingwa wa CAF mara 7 kama misri !!!
Ahsante ligi kuu TFF!!
aaaah na ushahidi wanao?Kuna madai ya Toto kupanga matokeo na Yanga..hili hawajalitolea ufafanuzi?
Yanga haihitaji kusaidiwa na TFF ili ichukue ubingwa. Ina advantage kubwa sana hadi hapa.Itakuwa Yanga walitoa pesa ili Azam imchezeshe Nyoni wapokwe point 3. Sio bure maana kila kitu ni Yanga. Teh teh teh
yaani nackia hata ile mechi ya simba na yanga yanga walinunua aiseeItakuwa Yanga walitoa pesa ili Azam imchezeshe Nyoni wapokwe point 3. Sio bure maana kila kitu ni Yanga. Teh teh teh
Subiri waje waseme walilipwa kiasi gani.yaani nackia hata ile mechi ya simba na yanga yanga walinunua aisee
Ha ha ha. Umeona eeh!Itakuwa Yanga walitoa pesa ili Azam imchezeshe Nyoni wapokwe point 3. Sio bure maana kila kitu ni Yanga. Teh teh teh
Huko kusaidiwa ndiko kulikoifikisha hapo. Watu hawazungumzii kubebwa katika mechi zijazo, bali katika mechi zilizopita.Yanga haihitaji kusaidiwa na TFF ili ichukue ubingwa. Ina advantage kubwa sana hadi hapa.