Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,459
- 3,789
Staa wa Bongo Fleva, Harmonize, amekanusha uvumi wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Malaika Cute, akisema kuwa ni rafiki yake wa kawaida tu. Mbali na kukanusha hilo, Harmonize amewashauri wanawake kufikiria kufanya upasuaji wa urembo (Surgery) ili kupendeza zaidi, akidai kuwa dunia ya sasa inataka wanawake wa muonekano fulani.
Akitolea mfano wa aliyekuwa mpenzi wake, Harmonize amesema aliwahi kumlipia gharama za surgery kwa sababu mpenzi huyo hakuwa na hali ya kujiamini.
Akitolea mfano wa aliyekuwa mpenzi wake, Harmonize amesema aliwahi kumlipia gharama za surgery kwa sababu mpenzi huyo hakuwa na hali ya kujiamini.