Harmo Rapper: Hata kwa dau gani kamwe siwezi kujiunga na Wasafi

hahahaha huyu jamaa nimejikuta nakuwa mshabiki wake,jamaa ana jiamini sana na wala haogopi watu wanavyo sema kuhusu uso na alivyo....
Na kama hoja ya kutafuta kiki basi na yeye anayo haki ya kutafuta kiki kama wasanii wengine wanavyo zitafuta kwa nguvu.
Harmo Rappa usichoke mpaka malengo yako yatimie.

hahahaha eti levo za fid q....
 
Huyu jamaa sasa mnamsindilia maswali mengi kuliko uwezo wake mpaka anachanganyikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…