Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,362
- 13,178
It's now 2024 in eastern parts of Australia, with Sydney, Canberra and Melbourne becoming the latest cities to welcome the new year.
Rasmi ni 2024 imeingia kwa Sehemu ya Miji ya Australia-Sydney,canberra na Melbrone wamekwisha uona Mwaka mpya, hata hivyo Tanzania kutokana na Utofauti wa Masaa muda wetu wakusherekea Bado masaa 6 na dkk 55 , ila yote kwa yote Mungu ni Mkubwa Heri ya Mwaka mpya 2024!