The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 651
- 1,419
Wakuu habari,
Nawakumbusha Kwa wale wanao tumia mkono wa kushoto kuwa Leo ni siku yetu 13.Aug . 2024 (Left handers day)
Naomba tujuane left-handers, alafu tupe experience kuhusu mkono wako wa kushoto.
Mimi mkono wangu wa kushoto ndio mkono wenye nguvu, Ikatokea nimekupiga ngumi lazima upewe transfer Muhimbili kitengo cha mifupa Moi.
Kingine, mm ni genius sana, hii notion inajulikana.