Hongera sana kwa kuzaliwa Leo 23.01.2017.Hakika utakuwa umepitia mengi mazuri na mabaya,mepesi na magumu lakini songa mbele,jiamini,pambana sana mpaka dakika ya mwisho.
Today you have added another candle of knowledge and wisdom to your life. May it give you the power to enlighten the whole world. On your birthday, I wish you joy and happiness.
Ubarikiwe sana.