Frey Cosseny JF-Expert Member Feb 4, 2015 1,984 1,405 Jan 28, 2017 #1 Happy Birthday jembe la ccm January Makamba
K kabombe JF-Expert Member Feb 11, 2011 26,153 18,742 Jan 28, 2017 #3 Huyu kijana bavicha hawatamsahau kabisa
Mteghanyi Kighobo Member Jan 30, 2016 55 40 Jan 28, 2017 #5 Frey Cosseny said: Happy Birthday jembe la ccm January Makamba Click to expand... HBD mbunge wangu
lameckkawawa JF-Expert Member Sep 13, 2015 944 665 Jan 28, 2017 #7 Mtani wangu HBD Ila uko kimya au nawewe muahanga JPM ataki siasa Hadi 2020 inabidi tuvumilie tu
Stroke JF-Expert Member Feb 17, 2012 37,141 46,402 Jan 28, 2017 #8 Hongera kwa kuongeza mwaka mwingine mkuu!
M Maua kilasa JF-Expert Member Aug 6, 2016 1,040 561 Jan 28, 2017 #9 Huyu tu ndiye kijana mwenye akili Tanzania nzima
J Jef Kirhiku Member Dec 10, 2016 39 76 Jan 28, 2017 #10 Happy birthday January Makamba. Kwa hakika ni hazina ya ccm na nchi kwa ujumla .
F Fao La Kujitoa JF-Expert Member Sep 17, 2016 396 966 Jan 28, 2017 #11 Frey Cosseny said: Happy Birthday jembe la ccm January Makamba Click to expand... lione utadhani kichuguu
Frey Cosseny said: Happy Birthday jembe la ccm January Makamba Click to expand... lione utadhani kichuguu